MwanzoBTC / SGD • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / SGD)
Bei iliyotangulia
129,616.44
Kwenye habari
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. WikipediaKuhusu Dola ya Singapore
The Singapore dollar is the official currency of the Republic of Singapore. It is divided into 100 cents. It is normally abbreviated with the dollar sign $, or S$ to distinguish it from other dollar-denominated currencies. The Monetary Authority of Singapore issues the banknotes and coins of the Singapore dollar.
As of 2022, the Singapore dollar is the 10th most-traded currency in the world by value. Apart from its use in Singapore, the Singapore dollar is also accepted as customary tender in Brunei according to the Currency Interchangeability Agreement between the Monetary Authority of Singapore and the Autoriti Monetari Brunei Darussalam. Likewise, the Brunei dollar is also customarily accepted in Singapore. Wikipedia