MwanzoUSD / GBP • Sarafu
add
USD / GBP
Bei iliyotangulia
0.80
Kwenye habari
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Pauni
Sterling is the currency of the United Kingdom and nine of its associated territories. The pound is the main unit of sterling, and the word pound is also used to refer to the British currency generally, often qualified in international contexts as the British pound or the pound sterling.
Sterling is the world's oldest currency in continuous use since its inception. In 2022, it was the fourth-most-traded currency in the foreign exchange market, after the United States dollar, the euro, and the Japanese yen. Together with those three currencies and the renminbi, it forms the basket of currencies that calculate the value of IMF special drawing rights. As of late 2022, sterling is also the fourth most-held reserve currency in global reserves.
The Bank of England is the central bank for sterling, issuing its own banknotes and regulating issuance of banknotes by private banks in Scotland and Northern Ireland. Sterling banknotes issued by other jurisdictions are not regulated by the Bank of England; their governments guarantee convertibility at par. Historically, sterling was also used to varying degrees by the colonies and territories of the British Empire. Wikipedia